
Mkoloni maarufu kama 'Kinega' kwa sasa, aligonga ‘akapela’ ya verse moja mwishoni mwa wiki mbele ya waandishi wa habari, Makao Makuu ya CHADEMA, mara baada ya kukabidhiwa kadi na katiba ya chama hicho ambacho alijiunga nacho rasmi.
Katika ngoma hiyo, Mkoloni aliwafyatua baadhi ya viongozi ambao wanaendelea kutumbua badala ya kuwasaidia wananchi wao.
Mkoloni alikabidhiwa kadi ya CHADEMA pamoja na mastaa wenzake wa Hip Hop, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Gerald Mwanjoka ‘G Solo’.
No comments:
Post a Comment