BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Sunday, September 27, 2009

KAA TAYARI KUIJUA PANGANI (PAN TOWN)


Pangani ni moja kati ya wilaya zipatikanazo mkoani Tanga, Tanzania. Kuna mambo mengi najua huyafahamu katika wilaya hii- Anko Mo Blogspot ipo tayari kukufikisha hadi Pangani (Pan Town) na kushuhudia baadhi ya maeneo yanayowafanya watalii wamiminike wilayani humo. Kaa tayari kwa picha....

Friday, September 25, 2009

KILA LA KHERI GLORY CHUWA!!

Mwakilishi kutoka mkoa wa Tanga Glory Chuwa akiwa amepozzz wakati akiwa kwenye kambi ya Miss Tanzania. Watanga wote wanakutakia kila la kheri dada yetu uweze kutuwakilisha vema.

Monday, September 7, 2009

MONSHINE HABIB APIGA TIK' TAK CLOUDS TV!!!


Monshine Habib mwenye red top na skaff nyeusi, akiwa na baadhi ya washiriki wenzake katika mchakato wa kutafuta watangazaji wa Clouds Tv

Baadhi ya washiriki wakiwa wame'pozz wakisubiri kuitwa na majaji.

Jaji mzeeeyaaaa Ncha Kali pamoja na Babra Hasani wakiwa makini katika kuchagua watangazaji wa Clouds Tv

Sunday, September 6, 2009

KUMRADHI WADAU WA VIJIMAMBO VYA TANGA!!!

KUMRADHI KWA KIMYA KIREFU WADAU- MAMBO MAZURI BADO YANAKUJA!! KAENI TAYARI KWA UJIO MPYA