BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, June 21, 2011

MISS TANGA 2011 NI ZUBEDA SEIF

Miss Tanga 2011 Zubeda Seif akipokea zawadi ya Flat Screen kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Dr Ibrahim Msengi aliyekuwa mgeni rasmi katika mashindano hayo. Miss Tanga 2011 iliandaliwa na kampuni ya New Face Entertainment.Miss Tanga 2011 kati kati Zubeda Seif mshindi wa pili kushoto Mwajabu Juma na mshindi wa tatu kulia Siphael Nashon

Miss Tanga 2011 Zubeda Seif akipita na vazi la ubunifu. (Kumradhi wadau kwa kuchelewa kuwaletea picha hizi)No comments:

Post a Comment