BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, October 13, 2011

JULIO NA MAZOEZI KABAMBE YA COASTAL UNION, LENGO NI KUINASUA MKIANI

Kocha Jamhuri Kihwelo 'Jullio' Akiweka Koni Ikiwa Ni Siku Yake Ya Kwanza Kuinoa Timu Yake Mpya Ya Coastal Union Kwenye Uwanja Wa Gymkhana Ambako Timu Hiyo Inachukua Mazoezi.

Wachezaji Wa Timu Ya Coastal Union Wakiw Ana Kocha Wao Jamhuri Kihwelo 'Julio' Wakifanya Mazoezi Kwenye Uwanja Wa Gymkhana Jijini Tanga Ambako Timu Hiyo Inafanya Mazoezi.


1 comment:

  1. Tanga football kwishnei!!! mpira ulikuwa zamani Tanga wana kimanumanu na wagosi wa kaya. wachezaji walotamba TZ kina Juma mgunda,yasin napili,Ali maumba, kasa mussa,na wengineo sasa hivi wapi!! hakuna mpira kuna ubishoo tu!!.

    ReplyDelete