Kwa mujibu wa uongozi wa kampuni hiyo, albamu ya Ngwea ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi wa muziki wa kizazi kipya imeonekana kufanya vyema kitaani kutokana na ubora wake, zikiwemo kazi nyingi kali kama Nipe dili, Speed 120, Singida Dodoma, Mida Mibovu, CNN na nyingine.Mabox yaiyosheheni abamu ya Ngwear


No comments:
Post a Comment