BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Saturday, September 24, 2011

HONGERENI CATHBERT KAJUNA NA DADA ESTER ULAYA KWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA

Cathbert Kajuna na dada Ester Ulaya hatimaye wamefunga pingu za maisha. Maharusi wote ni marafiki wa karibu wa Anko Mo Blogspot. Mungu awape neema na baraka katika maisha yenu ya ndoa.Hapa wakionyesha vyeti vyao vya ndoa.

Kajuna najua hapa presha ilikuwa inapanda na kushuka. Hongera sana kaka.No comments:

Post a Comment