Kura zilizopigwa na wadau wa blog hii ni 36, ambapoo Kylnn alipata kura 3 akiwa na asilimia 8 akifuatiwa na Nakaaya aliyetoka na kura 6 huku Keisher akishika nafasi ya tatu kwa kuwa na kura 9. Lady Jay Dee ndie ameibuka kidedea kwa kupata kura 20.
Jamani- mpambano huu haukuwa rasmi, ilikuwa ni katika kuwafanya wadau wa blog hii wapate chachu ya chakusema kupitia VIJIMAMBO VYA TANGA!! Kila la heri wajamaeni

No comments:
Post a Comment