BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Friday, October 23, 2009

MAPANGO YA AMBONI MKOANI TANGA- KIVUTIO CHA UTALII

Mapango ya Amboni yanayopatikana mkoani Tanga, Tanzania kama yanavyoonekana katika picha. Kwa juu sehemu ya kufikia kwa watalii wanaokwenda kutazama mapango hayo.

Watu wakiingia kutazama mapango ya Amboni.

Hapa ni sehemu ya pili ya mapango hayo maarufu mkoani Tanga.

Sehemu ya kuingilia kwenye mapango ya Amboni, ambyo ni sehemu ya kihistoria inayotembelewa na watalii wengi.




No comments:

Post a Comment