The Heavy Weight Mc, Profesa Jay akikamua kwa kwenda mbele kunako uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kwenye Fiesta One Love iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.
Mwanachemba, ndio kama hivyo tena kwenye kona Shaaaa!! Pamoja na tupo High kama KLM na kukusha kama CNN- alisababisha vya kutosha uwanja wa Mkwakwani.
Kutoka Ilala La Familia hadi Tanga Town, Chi! Chi! Chi! Chi! Chi! Chidi Benz akiwa na Chiku kwenye Fiesta One kwenye uwanja wa Mkwakwani- ilikuwa ni nomaa wadau.
Maunda akibembeleza kimtindo
Hizi ndio shangwe za Fiesta One Love jijini Tanga, Tanzania. Tazama nyomi la watu wakipata burudani kuhakikisha macho yanapata nafasi ya kuona kile kilicholetwa na Clouds Fm.
No comments:
Post a Comment