BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Friday, January 28, 2011

MATOKEO YA FORM 4 KWA SEKONDARI ZA TANGA- MENGENI YANAKUJA

'ULOFA' YA TOP C MSANII KUTOKA TANGA



Tazama video ya msanii anayefanyia kazi zake kunako studio za Sharobaro Records anajulikana kama Top C ambaye anatokea Tanga. Wimbo unaitwa 'Ulofa'

HAPPY BIRTHDAY JANUARY MAKAMBA.

Hongera kwa kuzaliwa tena upya siku kama ya leo Mbunge wa jimbo la Bumbuli mkoani Tanga Muheshimiwa January Makamba. Mungu akupe nguvu katika kazi zako za kila siku.

POLE BWANA MISOSI KWA KUFIWA NA BABA YAKO

Hivi karibuni msanii wa maarufu kutokea Tanga Bwana Misosi alifiwa na Baba yake mzazi mzee Gabriel Rushahu aliyefariki dunia katika hospitali ya Regency.

Kwa mujibu wa Misosi anasema kuwa Mzee Rushahu alikua na afya njema tu mpaka kufikia usiku ndipo hali ilibadilika ghafla na ikabidi mdogo wake ampeleke hospitali na ndipo mungu alipoichukua roho yake.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MZEE GABRIEL RUSHAHU MAHALI PEMA PEPONI....
AMEEN!

Tuesday, January 25, 2011

MATONYA HUYOOOOO KENYA!!

Kenya Nyte is back from the 4th of Feb with a special guest from Tanzania Matonya @ Asmara Restaurant to experience our Kenyan Nytes Entry will be 200 bob sponsored by Pro Habo, Swivel Media and 1fm on the decks kama kawa Dj Wesley and 2one2....

Monday, January 24, 2011

KLABU MPYA YAFUNGULIWA TANGA- INAITWA PWEZA!!

Kama atatokea mtu kuniuliza kuna tofauti gani kati ya Tanga ya leo na Tanga ya miaka ishirini iliyopita basi dhahiri nitamjibu kuwa tofauti kubwa ni ongezeko la klabu katika kuwafanya watu wake wawe na sehemu ya kupata starehe baada ya kazi za wiki nzima. Nasema hivyo kwa sababu hivi karibuni kumefunguliwa klabu nyengine mpya inayotwa PWEZA.

Nilipata bahati ya kuhudhuria siku ya ufunguzi. Nilichokutana nacho na wewe ningependa ukakione. Klabu moja safi yenye manndhari mazuri. Air Condition kupoza joto. Bei safi ya vinywaji huku ukipata muziki mzuri kutoka kwa maDj wanaojua kufanya kazi yao vyema. Ipo eneo la Chuda Relini. Zamani ilijulikana kama La Club Tanzanite.


Hapa ni kwa ndani. Taa zake zilikuwa zikiwaka na kung'arisha kila kona. Zaidi ya PWEZA pia Tanga kuna klabu nyengine kama Lacasa Chica, Ibiza Carnival pomoja na Lavida Loca.

Thursday, January 20, 2011

HAPPY BIRTHDAY UNTOUCHABLE!!!!

Peace!!! Happy Birthday brother.....anaitwa Wilson Lusingu a.k.a Untouchable msanii wa hip hop kutoka Tanga Tanzania. Hongera kwa kuzaliwa tena upya siku ya leo kaka. Mungu azidi kukupa maisha marefu. Kaza buti katika game ya muziki!!




HISTORIA YA TANGA HAPO ZAMANI!!

Mji wa Tanga ni mji mkuu wa Mkoa wa Tanga uliyoko ufukoni mwa Bahari ya Hindi. Tanga ina bandari kubwa kabisa katika sehumu ya kaskazini mwa Tanzania. Njia ya reli kwenda Mji wa Moshi inaanza hapa.

Jina hili la mji wa Tanga lilitokana neno la Kiajemi lenye maana nne tofauti ambazo ni: Iliyo nyooka; Bonde lenye rutuba; Barabara upande wa mto na Shamba juu ya mlima, neno hilohilo la Tanga kwa kabila la Kibondei ambalo ni wenyeji wa mkoa huo linamaana ya shamba, wao hulitamka N'tanga

Tanga insaemekana imeanzishwa na wafanyabiashara Waajemi katika karne ya 14 BK. Mji wa Tanga haikupata umuhimu kama mji wa jirani ya Mombasa. Tarihi ya Pate inasema ya kwamba kabla ya kuja kwa Wareno Pate iliwahi kutawala Lindi kwa muda fulani.

Katika karne ya 19 BK Tanga ilikuwa chini ya utawala wa Omani na Zanzibar. Misafara ya biashara imeanzishwa hapa kwenda bara. Kutokana na bandari yake nzuri ya kiasili Tanga ilikua sana wakati wa ukoloni wa Wajerumani waliojenga bandari wa kisasa pamoja reli kwanda Moshi. Reli iliwezesha kilimo kwa ajili ya soko la dunia Tanga ikawa bandari kuu kwa jili ya katani na kahawa.

Baada ya Uingereza kuchukua utawala wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani reli ya Tanga-Moshi iliunganishwa na ile ya kati hivyo ikawa na njia kwenda Daressalaam pia. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Tanga iliona mapigano makali tar. 3 - 5 Novemba 1914. Jaribio la Uingereza kuvamia Tanga kwa kikosi cha maaskari 8000 Waingereza na Wahindi kutoka meli kwenye Bahari Hindi ilishindwa vibaya na Jeshi la Ulinzi wa Kijerumani chini ya uongozi wa Paul von Lettow-Vorbeck.

Mwaka 1922 "Tanganyika Territory African Civil Services Association" (TAA) iliundwa Tanga ambayo ilikuwa shirika ya kwanza ya Kiafrika yenye shabaha za kisiasa.

Monday, January 17, 2011

HAPPY BIRTHDAY RACHEL SINDBARD

Hongera kwa kuzaliwa upya tena siku ya leo dada Rachel Sindbard. Alikuwa Miss Tanga City Central 2009 na pia Miss Tanga namba mbili 2009 na pia ni Miss UDOM 2010!! Mungu akupe afya, uhai na nguvu zaidi katika maisha yako.

SHOW YA BERRY BLACK

TWENDE PANGANI!!!

WELLCOME TO TWENDE PANGANI!!

Car hire and safaris
Align Center
The small company, but professional with much experience, Its located in Pangani Tanga region, the true Afican couple a MAASAI & BENA (NICKSON & NATOIWOKI) and their drivers offering you a unique African hospitality which provides you an opportunity to feel you are in right company to learn to share and enjoy trip to Africa.

Travelling through our company you will see what you planned and unplanned events, activity and features.

4wheel drive car

Why don’t you travel all weather?
Je umechoshwa na kuchelewa kwa safari yako?
Use our company to travel all weather, we have a four wheel drive car with comfortable sits that can take you any where you wish to go, regardless of the rain, mad or tilt without tired and with time consciousness.

MAZIWE ISLAND PANGANI

Maziwe Island is about 15 nautical miles off the coast of Pangani town. A Marine Reserve since 1975, Maziwe is an ideal place for swimming, snorkelling and diving as well as research expeditions, sunbathing and watching dazzling tropical fish.

Five of the seven species of turtles in the world' oceans can be seen off the Tanzania Coast, Tanga, Pangani leatherback, loghead, olive ridley, hawksbill and green. The green turtle is commonly seen around Maziwe which is a key nesting place for them


Tour trips to

Historical sites of Tongoni (Tongoni Ruins)
Tanga city
Amboni caves
Amani Natural Reserve
Mkomazi National Park
Ushongo beach
Saadani National parks
Historical places in pangani
Sisal plantations cites

Trips to:
Arusha
Kilimanjaro
Dar es Salaam
Colonial city of Tanzania
Usambara mountains tour
Mombasa
Mikumi National Park
Ruwaha National Park

However our company work in partinership with others by Liaising partners from Pangani cultural tourism, Ushongo hotels, kigombe hotels and Saadan hotels.

Price and cost

The cost for trip or tour trip depend on distance, number of days spent for touring, and the nature of tour, for instance in door tour, couples, family, students and volunteers, their cost is very minimal and affordable to our customers.
However for individual groups don’t hesitate to get negotiation to price.

Events

What else you can learn through TWENDE PANGANI Company?
You will learn African arts, songs, taboos, etc,


Contacts

+255784661855…… Nickson.Lutenda….coordinator
+255784543667….Natoiwoki Ole Muterian Director
+255716407879….. Office phone, Pangani


Email:
twendepangani@gmail.com
lutenda@yahoo.com

Tuesday, January 11, 2011

FACEBOOK NOT SHUTTING DOWN MARCH 15!! NI UZUSHI TU!!

Facebook CEO Mark Zuckerberg

There's a silly rumor exploding on the Internet this weekend, alleging that Facebook is shutting down on March 15 because CEO Mark Zuckerberg "wants his old life back," and desires to "put an end to all the madness."

We have official confirmation from Facebook Director of Corporate Communications Larry Yu that the rumor is false.

We asked him via e-mail if Facebook was shutting down on March 15, to which he responded, "The answer is no, so please help us put an end to this silliness."

He added, "We didn't get the memo about shutting down and there's lots to do, so we'll just keep cranking away like always."

Let's think about this for a minute. Would Facebook decide to shut down the company just a few days after announcing a round of funding, consisting of $450 million from Goldman Sachs and $50 million from Russian investment firm Digital Sky Technologies, on a valuation of $50 billion?

The spurious report was started by a site to which we refuse to link, known for its reports of impending attacks of alien spaceships and false reports of a Michelle Obama pregnancy.

The fact that this absurd hoax spread so efficiently makes us wonder: Will people believe anything?


CLICK HERE FOR MORE INFORMATION

MFAHAMU FRESH JUMBE MKUU KUTOKA TANGA!!

Fresh Jumbe Mkuu Waziri Kungugu Kitandamilima alizaliwa tar. 19 Oktoba, 1968 katika hospitali ya Ngamiani iliyopo katikati ya jiji la Tanga, Tanzania. Anatoka kwenye familia ya watoto nane, wanne wa kiume na wanne wa kike.

Wazazi wake wote wawili wametokea wilaya ya Pangani mkoani Tanga. Mama yake anatokea katika kijiji cha Bweni kinachoangalia mto Pangani na baba kwenye tarafa ya Mkwaja kijiji cha Buyuni kitopeni kilichopo mpakani kabisa kati ya wilaya ya Pangani na Bagamoyo.

Akiwa Tanga sehemu anayoiita nyumbani ni Makorora “Mti Mkavu” karibu kabisa na shule ya msingi Makorora ambayo ndipo alipoanzia elimu yake ya msingi kabla ya kuelekea Bakwata Sekondari kwa ajili ya elimu ya sekondari.

Fresh Jumbe ni mmojawapo wa wanamuziki wanaofanya muziki wa dansi akiwa nchi za nje. Na inaaminika kuwa analiwakilisha taifa lake katika nyanja za muziki huo vilivyo. Rasmi anafanyia shughuli zake za muziki nchini Japan. Lakini awali alikuwa na baadhi ya bendi za muziki huo kama vile Sikinde, Msondo, Bicco Stars, Safari Sound na nyingine nyingi tu. Kwa hakika Fresh Jumbe ni mojawapo ya majina ambayo washika dau katika medani za muziki hawawezi kuyasahau.

Tangu akiwa mdogo Fresh Jumbe alikuwa na ndoto ya kuwa mwimbaji. Kipindi fulani wakati akiwa bado katika shule ya msingi kule Tanga, aliwahi kuapa kuwa maisha yake ya ukubwani, kama yatakuwa ni ya kimasikini au ni yakitajiri au vyovyote vile, basi yatakuwa yametokana na miziki.

Aliapa kuwa uimbaji ndio utakaoongoza maisha yake. Kwahiyo ndoto yake hiyo nilianza kuifuatilia mapema tu akiwa bado mdogo kabisa na matokeo yake ni kuwa, mpaka leo maisha yake ni muziki na muziki ndiyo maisha yake.

Jumbe alivutiwa sana na marehemu Marijani Rajabu kutokana na utungaji wake, uimbaji wake na ufanyaji wake wa kazi akiwa jukwaani alimfanya atake kuwa kama yeye.

Mwingine ni kaka yake binamu "Marika Mwakichui" ambaye alikuwa mwimbaji wa bendi ya Tanga International ya Tanga. Yeye pia alikuwa mwimbaji mzuri na ndiye aliyempandishaAlign Center kwenye jukwaa kwa mara ya kwanza ili aimbe baada ya kugundua uwezo wake wa kuimba akiwa bado yuko darasa la sita.



Alimpa moyo sana na kumwambia kuwa yeye anaweza kabisa kuimba kuliko hata baadhi ya waimbaji wakubwa wa wakati ule. Hivyo shukrani za dhati zikamwendea ndugu huyo kwa msukumo na msaada aliompa na kumfanya ajiamini na aingie kikamili kwenye muziki mpaka kufikia alipofikia leo hii.

Mnamo mwaka wa 1988 akiwa katika bendi ya Safari Sound "Ndekule", Taasisi ya Kuhifadhi Mazingira ya Tanzania kupitia chama cha muziki wa dansi Tanzania "CHAMUDATA" iliteua baadhi ya watungaji iliyoamini kuwa ni watungaji wazuri, ili watunge nyimbo mbili za uhifadhi wa mazingira ili zikawakilishe nchi ya Tanzania kwenye Tamasha la kuhifadhi mazingira la Afrika katika siku ya mazingira duniani. Kwa wakati huo kwa upande wa Afrika, tamasha lilifanyika mjini Nairobi, Kenya.

Jumbe alikuwa mmoja kati ya walioteliwa kutunga nyimbo hizo. Walioitwa katika katika utunzi huo alikuwa Cosmass Chidumule, marehemu Hemedi Maneti, Jah Kimbute, marehemu Eddy Sheggy, marehemu Jerry Nashon "Dudumizi" na wengine kadhaa.

Walipewa maelekezo ya kila mtu kutunga nyimbo moja ya mazingira. Pia walielezwa ni masuala gani muhimu yanayotakiwa kuzungumzwa kwenye hizo nyimbo. Wakapewa wiki mbili za kutunga nyimbo. Pia waliambiwa kuwa, haya ni mashindano na washindi wawili watakaopatikana, yaani watakaotunga nyimbo mbili za kwanza zitakazokubalika zaidi na Taasisi ya Mazingira ya Tanzania, watapata zawadi ya pesa na pia wao ndiyo watakuwa wawakilishi wa nchi kwenye hilo tamasha la mazingira huko mjini Nairobi. Kwa bahati nzuri, nyimbo yake ikawa namba moja na ya Cosmass Chidumule ikawa ya pili.

Zawadi zikatolewa kwa washindi na pia wakapelekwa Nairobi kuiwakilisha nchi kwenye tamasha hilo. Hilo ndilo lilikuwa chimbuko la wimbo wa "Tuhifadhi Mazingira" na ndiyo wimbo pekee uliyomleta juu katika masiha ya muziki.



Monday, January 10, 2011

KITU KIPYA KUTOKA KWA UMABE ARTS!

UMABE Arts

Habari za leo wadau wote popote Duniani, kwanza tunapenda kuwapa mkono wa heri ya mwaka mpya 2011.Tunapenda kuwakaribisha nyote katika Web Blog yetu inayo jishughurisha na Sanaa za aina zote kama vile Muziki,maigizo,Filam nk, kwa ujumla mengi Mtayaona mtakapo tembelea Tovuti yetu. Pia tunaomba ushirikiano wenu kwani tunaamini sisi kama sisi hatujitoshelezi bila nyinyi wadau wetu. tunapenda kutanguliza shukurani zetu na karibuni sana.

WAKO KWA NIABA YA KAMPUNI

FREDY NJEJE

PROJECT AND DESIGN MANAGER

UMABE ARTS COMPANY LTD

Jina la Blog: UMABE ARTS

LINK: http://umabearts.blogspot.com/


kwa Pamoja tunaendeleza harakati za sanaa na wasanii Nchini.

"GOMA" LA TANGA HILO!!!

TOUR OPERATORS AND INFORMATION CENTRES IN TANGA!


TANGA

Blue Mango Expeditions
Independence Avenue
Sachak House
P.O. Box 661, Tanga, Tanzania
Phone: +255(0)717032496 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)717032496 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)716919686 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)716919686 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: cindy@expeditions.com
mathias@expeditions.com

*********

Ilya Tours and Safaris
Central Market,
Ocean Breeze Hotel
P.O Box 6128, Tanga, Tanzania
Phone: +255(0)786671163 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)786671163 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)713560569 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)713560569 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)784660569 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)784660569 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: ilyatours@yahoo.com
Website: www.ilyatours.com

********

RH Travels
Domestic Flights Agent
Street No.4 near
Mkwakwani Lodge
Phone: +255(0)653192172 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)653192172 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)272645843 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)272645843 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: rhtravels@hotmail.com

*******

Starword Travels & Tours
Int.&.Dom Flight Agents
Opp. Post Office
Phone: +255(0)272645597 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)272645597 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: starworldtravel_2005@yahoo.com

*******

TAYODEA Tourist Information Center
Market Street,
Opp. NMB Bank, Tanga
Phone: +255(0)272644350 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)272644350 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)713260027 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)713260027 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: tayodea@yahoo.com
Website: www.tayodea.or.tz

LUSHOTO

Friends Of Usambara Society.
Maib Street
Opp. NMB Bank
Phone: +255(0)272640132 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)272640132 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)784420310 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)784420310 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: usambaras2000@hotmail.com

*******

Sed Adventures Tours & Safaris
Opp. NMB Bank
Sun Hotel
Phone: +255(0)784689848 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)784689848 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)754826823 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)754826823 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: info@sedadventures.com
anna@sedadventures.com

*******

TAYODEA Tour Care
Near Bus Stop,
Florida Hotel
Phone: +255(0)272644350 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)272644350 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: youthall2000@yahoo.com
Website: www.tayodea.or.tz

*******

Community Care & Friendship Association
Green Valley Hotel
Phone: +255(0)786861969 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)786861969 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: cocafatz@yahoo.com

*******

KOROGWE

Lutindi Cultural Ecotourism Group
Near Msambiazi Village
13 Km off Main Road
Phone: +255(0)272641040 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)272641040 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)764414491 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)764414491 end_of_the_skype_highlighting
+255(0)753101618 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)753101618 end_of_the_skype_highlighting
E-mail: lutindi-hospital@elct.org

*******

PANGANI

Pangani Tourism Information Centre
Phone: +255(0)272630006 begin_of_the_skype_highlighting +255(0)272630006 end_of_the_skype_highlighting
Website: www.panganituorism.com

Friday, January 7, 2011

HAPPY BIRTHDAY ABDULLAH MFURUKI!!!

Amezaliwa siku kama ya leo. Happy Birthday kaka. Mungu akupe afya njema wewe pamoja na familia yako. Akuongezee uhai zaidi.

HONGERA JANUARY MAKAMBA KWA KUANZISHA TOVUTI YA JIMBO LA BUMBULI!!

Katika pita pita zangu leo nimekutana na website ya mbunge kutokea mkoa wa Tanga katika jimbo la Bumbuli Mh. January Makamba. Kwa kweli nilivutiwa sana na kile alichokua anakizungumzia humo. Ni kuhusiana na mikakati ya maendeleo katika jimbo lake la Bumbuli. Ameonyesha msimamo imara katika kuwapigania wananchi wake katika maswala ya Elimu, Afya, Uchumi, Kilimo N.K......kwa kweli imenihamasisha sana. Basi wabunge wengine wa Tanga waige huu mfano. Kwani kiongozi bora ni yule anayefikiria kizazi kijacho, na sio kufikiria uchaguzi ujao atashinda vipi!! Mfuatilie kwa makini January Makamba......

Ndugu January Yusuph Makamba is the new Member of Parliament (MP) for Bumbuli constituency in the Tanzanian National Assembly (The Bunge). He sailed through unopposed in the October 31, 2010 general elections, representing the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) ticket. He won the August 1st primary election within CCM with a margin of 80.11% against 8 other contestants.

Before running for Bumbuli parliamentary seat, January was Aide to Tanzanian President Hon. Jakaya Kikwete for 5 years since 2005.

Born in January 28, 1974, January obtained his primary education from various schools across Tanzania, completing his studies at Masiwani Primary School in Tanga. He did his O-level secondary school in Handeni and at Galanos in Tanga. He further pursued his A-levels at Forest Hills in Morogoro.

January never imagined himself pursuing a political career. As a young secondary school student he aspired to be a doctor or perhaps engage in a career in business. This all changed during a gap year before university when he spent time in Kigoma, in the northwest of Tanzania. The year was 1994 and the Rwandan genocide was at its most murderous phase, forcing a huge influx of refugees into Tanzania.

While in Kigoma, January got a job in the refugee camps, first as a Registration Clerk and later as an Assistant Camp Manager for the second biggest camp in Kigoma with 120,000 refugees, known to its residents as Mtabila II. Witnessing the extraordinary daily suffering of human beings in the camps left an indelible mark on the young January, and from then on he made a promise to himself that he will dedicate his life to conflict resolution, to ensure that such untold suffering never happens again.

With that in mind, January attended St. John’s University, a small catholic school in Minnesota, USA, majoring in Peace and Conflict Studies. As a sophomore, he won the Upper Midwest International Human Rights Fellowship organized by the University of Minnesota Human Rights Center.

The fellowship funded his internship and research on refugees’ protection at United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) Field Office in Kasulu, Kigoma. After graduating in 2000, he became a Research Assistant at the Carter Center, an institute founded by former U.S. President Jimmy Carter, and housing the Jimmy Carter Presidential Library, out of Atlanta, Georgia.

As part of the fellowship, in 2002 he spent time in Sierra Leone with the election monitoring team, an experience that deepened his desire to understand issues of democracy and governance and the nature of war and the pursuit of peace.


TO READ MORE ABOUT JANUARY MAKAMBA CLICK HERE

Thursday, January 6, 2011

DJ EDDO WA CLUB LACASA CHICA YA JIJINI TANGA!

Mara yako ya mwisho kufika Club Lacasa Chica ni lini...!!!?? Kama ni mwaka mmoja uliopita basi ujue ukija tena utakutana na mabadiliko makubwa tu. Lacasa Chica imejengwa upya katika mtazamo mzuri wa Club kali nchini ambapo kamwe huwezi kujuta ukifika humo ndani kwa siku za week end. Dj Eddo ni miongoni mwa maDj ambao utawakuta Club Lacasa Chica, katika kuhakikisha unapata burudani ya muziki katika kiwango cha kimataifa.

Dj Eddo wa Club Lacasa Chica ya jijini Tanga. Tanga Raha!!

Wednesday, January 5, 2011

DAN ZAK- BORN AND RAISED IN TANGA!

Well known by the name "DanZak", he is an Omani rnb/pop artist who has over 40 records of high hit potential. His music has a unique sound with an afro-arab blend that is rare to find and he is currently based in Muscat Oman.

What started as a hobby and a creative outlet for the undiscovered talent, has quickly grown into an international success story for East African born, Omani national, DanZak. A singer, songwriter, producer, entertainer and businessman, DanZak has solely established himself as a true home-grown success story.

Considered an ‘underground’ artist in the Middle East, friends posted YouTube videos of the young talent singing his own songs (Wifey, My Girl and Omani Queen) which quickly racked up over 15,000 views, purely by word of mouth. This star in the making began to shine brightly, without any formal marketing or promotion.

In early 2009, DanZak left Oman for Australia to study Aviation where he gained his Commercial Pilot License accredited by CASA. During his 18 months abroad, DanZak wrote, recorded and produced over 40 songs. Releasing them online, his loyal fan base grew at an incredible rate both in Australia and back home in the Middle East and East Africa.

DanZak signed up to Akon’s Hitlab (www.hitlab.com), a website where unsigned singers can upload their songs for analyzing against the Top 100 Billboard hits of the past 6 years. Akon, with 6 grammy award nominations himself, offers Hitlab contestants the chance to showcase their own songs with the winner receiving the opportunity to be signed to Akon’s label Konlive or Konvict. DanZak held the number 1 spot on Hitlab for an unprecedented 9 weeks!

DanZak returned home to Oman in June 2010 with overwhelming popularity and unforeseen stardom; especially for someone who has not officially released an album! Now with over 10,000 fans on his official Facebook fan page and continuous radio air play across the Middle East, DanZak has done shows Internationally including Dubai UAE.

He has worked with various international and local artists and producers including Kajmir Royale (USA), Symeon (France), Cato (USA), Salma (Australia), The Analyst (Netherlands), ProzpectMuzic (USA), KJ (India), Low Rhyders (India), KGT of G Records (Tanzania), Taqwa and SumaLee (Tanzania) and local Omani talents A.K.D, YungStarz, DK, Joey Jo, Smokey and Scooby. DanZak encourages international collaborations and diversification of his music. He enjoys the music making process and is fanatic bout his music production.



A savvy businessman and entrepreneur, DanZak owns production and entertainment company, Music Masterpiece. Once an event planner himself, DanZak’s Music Masterpiece, is now busy scheduling his own appearances and performances. The future is bright for this dedicated entertainer who performed just weeks after returning to Oman to a sea of screaming fans.

DanZak says humbly, “It’s very surreal but extremely flattering when fans approach me to ask for an autograph,nothing makes me happier than hearing fans say that my new song is even better than the last.”

DanZak’s new and official website coming soon!


The following are some of DanZak's work:

DanZak's strongest track is "Bumpy Bumpy":
http://www.facebook.com/video/video.php?v=483899117872

Hit track is 'She Wants Cash':
http://www.facebook.com/video/video.php?v=352199607679

Find more of DanZak's work at his facebook fanpage:
http://www.facebook.com/danzak

And more on Akon's Hitlab:
http://www.hitlab.com/user/65102/danzak

Hear Akon talking about DanZak here:
http://www.facebook.com/video/video.php?v=427265247872

DanZak's tour DJ is DJ Teddy Jam-Dubai's favourite.\


CLICK HERE TO VISIT DAN ZAK


Tuesday, January 4, 2011

SEMA ROMAA!! ROMA!! AWARUSHA VILIVYO FREE STYLE MC SHUJAA SIKU YA FAINALI

HISTORIA YA KANISA KUU, PAROKIA YA MT ANTONI WA PADUA, CHUMBAGENI TANGA 1893

Kanisa la Chumbageni lilianzishwa mwaka 1893. Kanisa hili lilijengwa wakati mmoja na bandari ya Tanga. Kipindi hiki mji wa Tanga ulikuwa mdogo sana na wakazi wake walikuwa wachache, hivyo Parokia hii iliwatosha watu wa mji wa Tanga.

Parokia ya Mtakatifu Anthony wa Padua, Chumbageni ilianzishwa na Mapadre wa Shirika la Roho Mtakatifu. Ilikuwa ni moja ya sehemu za Vikarieti ya Kilimanjaro. Jinsi muda ulivyoenda, na bidii ya Wamisionari, wakristu waliongezeka. Hawa ni baadhi ya Mapadre waliofanya kazi katika Parokia hii kipindi hicho: Pd. Francis Kennedy, Pd. James Cannolly, na Pd. O’Kane.

Wamisionari walifungua vigango mbalimbali kandokando ya barabara kuu za Tanga-Mombasa, Tanga-Pangani na Tanga-Moshi. Vilevile waliwahudumia wafungwa ambao walikuwa wamehukumiwa kunyongwa katika Gereza kuu la Maweni Tanga. Mheshimiwa Pd. Madden wakati fulani alihudumia wafungwa ishirini na tatu. Miaka ya 1960, Pd. Gerald Smith aliendeleza vigango vingine, navyo ni Mtakatifu Karoli Lwanga-Majani Mapana, Mtakatifu Josef Kagwa-Amboni, Mtakatifu Mathias Mulumba-Usagara, Mtakatifu Petro Saruji na Mtakatifu Gerald Pongwe. Vigango vingine ni Chote, Kisimatui, Kange, Kakindu, Mkembe na Jaribu Tena.

Mwaka 1948 Tanga pamoja na bandari yake ilifanywa kuwa Mkoa maalumu kwa viwanda vya Mkonge. Tukio hili liliifanya Tanga kukua na kufahamika zaidi, hata hivyo watu waliongezeka zaidi kwa ajili ya kufanyakazi katika mashamba ya mkonge na viwandani. Mwaka wa 1952 mji wa Tanga peke yake ulikuwa na wakazi waafrika wapatao 4,635, waarabu 1,029, waeshia 5,779 na wazungu 558.

Mwishoni mwa miaka ya sitini Pd. Gerard Smith ambaye pia kwa miaka 20 alikuwa paroko wa Mt. Antoni wa Padua alihakikisha kuwa vigango vya Mt. Antoni vinakuwa. Alijenga makanisa mbalimbali kama vile Mt. Charles Lwanga, Majani Mapana; Mt. Yosefu Kagwa, Amboni; Mt.. Mathias Mulumba, Usagara, kisha Mt. Peters Saruji Pongwe. Mwaka 1985 Pd. Smith alihamia na kuwa paroko Parokia ya Mt. Peter, Saruji. Akiwa paroko wa Mt. Petro Saruji Pongwe alijenga makanisa katika vigango vifuatavyo Mt. Gerard, Pongwe; Chote, Kisimatui, Kange, Kakindu, Mkembe and Jaribu Tena.Pia alijenga shule ya awali na nyumba ya masista Pongwe, Saruji, Majani Mapana Usagara and Kisimatui.

Pia alijenga Hostel ya wasichana katika parokia ya Mt. Anthony wa Padua, Chumbageni. Hostel hii daima imekuwa msaada mkubwa kwa wasichana wanaosoma elimu ya sekondari na vyuo Tanga mjni. Pia alijenga Go-down, kubwa Chumbageni ambalo linatumika hadi sasa.

Pd. Smith pia alikuwa ni Wakili wa Askofu wakati wa Mhashamu Askoufu Maurus Komba. Alipohamia parokia ya Mt. Petro Saruji Pongwe, Pd.. Martin Maganga akawa paroko mpya wa parokia ya Mt. Anton wa Padua, Chumbageni Tanga.

Pd. Gerard Smith alifariki mwaka 2001 na kuzikwa huko parokia Gare. Pd. Firmat Tarimo akawa paroko mpya katika parokia ya Mt. Petro Saruji Pongwe.

Monday, January 3, 2011

MH.UMMY ATEMBELEA TUJIKOMBOE GROUP TANGA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bi.Ummy Ally Mwalimu kulia akipokea risala kutoka kwa Mwasisi Mshauri wa Shirika lisilo la kiserikali la Tujikomboe Group Bw.Shamsi Mhina ,Shirika hilo lenye makao yake Ngamiani Kusini Tanga linalojishughulisha na masuala ya kutetea haki za watoto,Maendeleo ya Jamii

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bi.Ummy Ally Mwalimu (katikati asiye na kilemba) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Tujikomboe Group alipowatembelea jana,kulia ni Bw.Shamshi Mhina Mwasisi na Mshauri wa Shirika hilo,kushoto ni Bi Chiku Athumani Mratibu wa Shirika hilo Tanga,walioko nyuma ni Afisa Tawala Bi.Mariam Amiri na Mwanaisha Issa Msaidizi wa Ofisi,Naibu Waziri alitembelea kujua shughuli za asasi hiyo.

AMBONI CAVES TANGA!!

Amboni caves are the most extensive limestone caves in East Africa. Formed 150 million years ago. Located 8 km north of Tanga City. The beautiful Amboni caves are the product of limestone formation sculptured by nature through fascinating and various colours depicting an underground wonderful World. Visitors to the cave can get a feeling by going into the cave.

A distance of about one kilometer is considered enough to satisfy the visitor’s curiosity. It is daring to walk what is considered to be the whole length of the cave, but no known person has ever discovered the last limits of these natural caves.

Visitors getting a brief in the sitting room of the cave before going into the cave a 45 minutes tour Local legend had it that these caves exit at some point north wards close to mountain Kilimanjaro, then head east wards exiting again at the coast.

If one goes further than the known limits legends has it that one should be prepared to cross many underground rivers. The mysterious Amboni caves have different geological features, huge open ground with high ceiling where visitors can rest or picnic.

A scripture of virgin Mary, New York statue of liberty, ancient animals and paintings, animal foot prints. No doubt Amboni caves are one of the world’s greatest underground natural wonders, sculptures which have been produced by natural powers of fascinating limestone formation in a wide variety of colours.

It is a thrill to visit AMBONI CAVES in Tanga Tanzania