BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, January 28, 2011

POLE BWANA MISOSI KWA KUFIWA NA BABA YAKO

Hivi karibuni msanii wa maarufu kutokea Tanga Bwana Misosi alifiwa na Baba yake mzazi mzee Gabriel Rushahu aliyefariki dunia katika hospitali ya Regency.

Kwa mujibu wa Misosi anasema kuwa Mzee Rushahu alikua na afya njema tu mpaka kufikia usiku ndipo hali ilibadilika ghafla na ikabidi mdogo wake ampeleke hospitali na ndipo mungu alipoichukua roho yake.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MZEE GABRIEL RUSHAHU MAHALI PEMA PEPONI....
AMEEN!

No comments:

Post a Comment