BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, January 6, 2011

DJ EDDO WA CLUB LACASA CHICA YA JIJINI TANGA!

Mara yako ya mwisho kufika Club Lacasa Chica ni lini...!!!?? Kama ni mwaka mmoja uliopita basi ujue ukija tena utakutana na mabadiliko makubwa tu. Lacasa Chica imejengwa upya katika mtazamo mzuri wa Club kali nchini ambapo kamwe huwezi kujuta ukifika humo ndani kwa siku za week end. Dj Eddo ni miongoni mwa maDj ambao utawakuta Club Lacasa Chica, katika kuhakikisha unapata burudani ya muziki katika kiwango cha kimataifa.

Dj Eddo wa Club Lacasa Chica ya jijini Tanga. Tanga Raha!!

No comments:

Post a Comment