BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Monday, March 30, 2009

HUYU NDIYO HANDSOME WA TANZANIA.


Hivi majuzi pale New Africa Hotel jijini Dar-es-salaam,palifanyika shindano la kumsaka The Most Handsome Man in Tanzania au ukipenda Mr.Bongo kwa mwaka 2009. Jumla ya vijana 11 walifikia fainali hizo ambapo mshindi aliibuka kuwa Khalid Mohamed(pichani).
Mshindi huyo ambaye bila shaka ndio ashaanza kuingia katika lile kundi la “umaarufu”,alijipatia zawadi ya US $ 1000 na shopping ya uhakika katika maduka ya Zizzou Fashion.
Majaji wa shindano hilo walikuwa Steven Kanumba, Christina Isabbela na Richard ambaye alikuwa mshindi wa Big Brother 2007.

No comments:

Post a Comment