
Huyu anaitwa Fatuma Makoko, nae ni mkurugenzi wa Miss Tanga City Center.


Hapa wakiwa na wasimamizi wengine wa mashindano hayo ambayo kwa pamoja wamedai kumtoa Miss Tanga na hata Miss Tanzania. Kulia ni Don Chill na aliyesimama kushoto ni Khaleed.

Ukisikia Tanga Raha ndio hii, huyu anaitwa Pili Miraji ni mwalimu wa walimbwende wanaowania taji la Miss Tanga City Center

Umeshawahi kusikia SOFIA PRODUCTION..? Huyu ndie mmiliki wake, anaitwa Aisha Kisoky- Ndie mdhamini wa mashindano ya Miss Tanga City Center

Mama Sofia Production akiwa na mmoja wa wakurugenzi wa mashindano ya kumsaka mrembo wa Miss Tanga City Center
SASA WATAZAME WAREMBO WAO

Anaitwa Leyla Issa. Umri wake miaka 18, ni mshiriki wa Miss Tanga City Center mwaka 2009
Anaitwa Salome William. Umri wake ni miaka 18, ni mshiriki wa Miss Tanga City Center mwaka 2009

Anaitwa Agnes Sambo. Umri wake ni miaka 21, ni mshiriki wa Miss Tanga City Center mwaka 2009

Anaitwa Rachel Mlaki. Umri wake ni miaka 20, ni mshiriki wa Miss Tanga City Center mwaka 2009
Anaitwa Martha Moses. Umri wake ni miaka 18, ni mshiriki wa Miss Tanga City Center mwaka 2009
Anaitwa Neema Komba. Umri wake ni miaka 19, ni mshiriki wa Miss Tanga City Center mwaka 2009
Anaitwa Ester Flavian. Umri wake ni miaka 19, ni mshiriki wa Miss Tanga City Center mwaka 2009
No comments:
Post a Comment