HAWA NDIO VIJANA WA OMEGA BOYS

MTU MZIMA KOCHAS AKI'SHOW LOVE KWA WADAU

HAPA WAKIWA LIVE NDANI YA STUDIO ZA MWAMBAO WAKIFANYA INTERVIWE NDANI YA KIPINDI CHA THE HOT BEAT

BRA-A AKIWA MZIGONI WAKATI AKIWAFANYIA INTERVIEW VIJANA WA OMEGA BOYS, NYUMA NI DJ ROGGER KISS

HAPA NIKIWA NA DJ ROGGER KISS TUKIFUATILIA INTERVIEW KWA MAKINI

AMANI KWENU WADAU WANGU WOTE WA JIJINI TANGA NA KOTE AMBAPO MNANISOMA



sio mchezo
ReplyDelete