BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Wednesday, March 25, 2009

KITU GANI KILICHOMKIMBIZA DUNGA TZ..?


Ambros nkwabi aka dunga arejea nchini kwao baada ya miaka mitatu mfululizo ya kazi zake dar-es-salaam.nimerejea kenya na tayari nimeshaanza kazi mimi na kaka yangu shaky tumeshaanza kuwa busy na kazi za wasnii wa hapa.


Amesema dungalakini wadau wengine wanadai kuwa dunga ameondoka nchini baada ya work permit kuisha muda na kukabiliwa na vipingamizi kutoka serikalini kuhusu kuongeza muda wa work permit yake.


Work permit ya dunga iliisha muda miezi kadhaa iliyopita na alishindwa kuongeza muda wake baada ya wahusika kukataa ombi lake habari zaidi alizitoa akidai kutokutajwa jina lake.source huyo aliendelea kusema kuwa producer huyo wa kikenya alileta tishio kubwa kwa wapinzani wake kibiashara na kuteka show zote kitu ambacho hakikuenda sawa kwa upande wake yeye.


Wengine walikuwa wakimpinga mpaka kufikia hatua ya kutoa rushwa ili work permit yake isiongezwe mudadunga hakusema chochotekuhusiana na hayo.

No comments:

Post a Comment