BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, February 4, 2011

PWEZA NIGHT CLUB! NDIO SEHEMU YA KWENDA UKIWA JIJINI TANGA

Je wewe ni mkazi wa Tanga, au ni megeni umefika Tanga na hufahamu sehemu ya kwenda kujirusha siku ya leo na wikiend nyengine zote..!!?? Usidanganyike, sehemu ya kwenda ni moja tu. Ni pweza Night Cub iliyopo pale Chuda relini zamani La Club Tanzanite. Ni Club mpya ya kisasa jijini Tanga. Muziki mzuri kutoka kwa Ma'dj wa kali huku ukipata vinywaji kwa bei ya kawaida kabisa. Njoo tufurahi kwa pamoja ndani ya Pweza!!

Pwezaaa!!

1 comment:

 1. Nimeingia pale majuzi nikalearn kwamba kutoka the Club Tanzanite niliyoiacha mwaka 2011, kumbe ilibadilika jina na kuitwa Pweza Night Club hapo juzi kati. Lakini siku hiyo naattend pale mida ya usiku kati, nkakuta ndio inakuwa launched upya kwa jina jipya la Tanga City Lounge! Very Good!

  Kama nilimsikia vyema msemaji wa mwendeshaji akinadi kwamba Tanga City Lounge itamilikiwa na wateja na kwamba waendeshaji watakuwa ni wasimamizi kuhakikisha wamiliki (wateja) wanaenjoy kadri iwezekanavyo. Falsafa hiyo naikubali. Lakini isiwe ya mwanzoni mwanzoni kuvutia watu, kisha baadaye tunyang'anywe umiliki na kuachiwa kuwa omba omba wa huduma. Huduma sasa zilingane na ukali wa bei mpya - buku kumi bila souvenir! Afu tena ukute wengine wanaingizwa kwa uchochoro wanakuja kuleta fujo kwa walioingia kihalali, afu hata hakuna ofa ya kuruhusu watoto wa kike wa Tanga kuingia ili kuvutia wawekezaji katika matumizi!

  Vinginevyo hatutaona tofauti baina ta Tanga City Lounge na Spider ama Club Tanzanite. Niwatakie kila la heri.

  Wambura, Arusha
  0713 276 245

  ReplyDelete