BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, February 22, 2011

TOP C KUIWAKILISHA TANGA KWENYE TUZO ZA KILI!Msanii wa muziki wa kizazi kipya Top C anayetokea Tanga ametajwa kwenye tuzo za Kili 2011 katika category mbili tofauti ambazo ni WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA pamoja na MSANII MPYA ANAYECHIPUKIA yaani (UPCOMING ARTIST).

Top C kwa sasa anatamba na wimbo wake wa 'Lofa' uliotengenezwa pale Sharobaro Records chini ya Producer Bob Junior! Unyesha uzalendo kwa kumpigia kura Top C punde mchakato huo utakapoanza.

19. MSANII MPYA ANAYECHIPUKIA (UPCOMING ARTIST)

SAM WA UKWELI

LINAH

SAJNA

BOB JUNIOR

TOP C

***************


22. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA

SINA RAHA-SAM WA UKWELI

LOFA-TOP C

NABEMBELEZWA-BARNABA

ROBO SAA-AMINI

BORA NIKIMBIE-LINAH

*****************


TAREHE 1 MARCH 2011 RAIA NA MASHABIKI WA MUZIKI WATAANZA KUPIGA KURA.

*TAREHE 24 MARCH 2011 MAJAJI WATAHAKIKI KURA.

*USIKU WA UTOAJI TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2011,YAANI JUMAMOSI YA TAREHE 26 MARCH 2011

No comments:

Post a Comment