BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Saturday, August 13, 2011

CRDB YAWASAIDIA WAKULIMA WA KILIMO CHA MPUNGA KOROGWE

Afisa wa benki ya crdb la mkoani tanga akiangalia moja ya mashamba ya mpunga wilayani korogwe ambayo benki hiyo imekuwa ikisaidia kilimo cha umwagiliaji kuwainua wakulima.Mfereji wa maji yanayokwenda kwenye mashamba ya mpunga ambao umekarabatiwa kwa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kuwasaidia wakulima wa mpunga wilayani korogwe kulikofanywa na benki hiyo ya crdb


No comments:

Post a Comment