BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, June 6, 2011

LINAH KUISINDIKIZA MISS TANGA 2011 JUMAMOSIMsanii kutoka THT Linah Sanga anatarajiwa kupamba shindano la kumsaka mnyange wa Miss Tanga 2011 linalotarajiwa kufanyika siku ya jumamosi ya tarehe 11/06/2011 kunako Mkonge Hoteli. Endelea kutembelea Blog utajua ni msanii gani mwengine atakayepiga show siku hiyo. Miss Tanga 2011 "YES WE CAN"'SIO YA KUKOSA'

No comments:

Post a Comment