BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, June 30, 2011

UFUNGUZI WA TAMASHA LA FILAMU TANZANIA (TANGA, TANGAMANO) LAFANA
Hizi ni baadhi ya picha za tukio la ufunguzi wa Tamasha la Filamu Tanzania linalofanyikka hapa mkoani Tanga kunako uwanja wa Tangamano huku likipewa udhamini mnono na kinywaji cha Grand Malt. Kaa tayari kwa picha nyengine zaidi.No comments:

Post a Comment