BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, June 1, 2011

'SISI TUTAIJENGA TANGA' GROUP MPYA KUTOKA TANGA!

Je wewe ni mdau madhubuti, mpenda maendeleo kutokea Tanga. Wanaharakati wanaopigania Tanga wanakuletea GROUP nyengine kwenye mtandao wa facebook inayojulikana kwa jina la 'SISI TUTAIJENGA TANGA' humo kuna mijadala mbali mbali ya kuijenga Tanga pamoja na watu wake. Nini kifanyike, na nani aambiwe! Unganga na watanga wenzako katika kuipigania Tanga. Kujiunga BONYEZA HAPA au kujiunga na GROUP ya MARAFIKI WA TANGA pia BONYEZA HAPA hakikisha umeifungua facebook yako wakati wa kujiunga.No comments:

Post a Comment