BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, May 23, 2011

ASANTE HABARI LEO KWA KUNIONA!

Siku ya ijumaa ya tarehe 20/05/2011 nilipamba kurasa kupitia gazeti la Habari Leo linalotoka kila siku. Humo mwandishi aliandika mambo mengi sana kuhusu mimi. Maisha yangu pamoja na uwezo wangu katika utunzi wa hadithi ambao nimerithi kutoka kwa marehemu baba yangu Hammie Rajab. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru gazeti la Habari Leo pamoja na mwandishi Beda Msimbe kwa kazi nzuri mliyoifanya.No comments:

Post a Comment