BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, May 18, 2011

DULLY SYKES NDANI YA TANGA CITY IJUMAA HII!

Msanii wa kizazi kipya anayetamba na wimbo wake wa 'Bongo Fleva' hivi sasa Dully Sykes atakuwepo jijini Tanga ijumaa hii ya tarehe 20/05/2011 kunako club ya kisasa ya Lacasa Chica kwa kiingilio cha 5000/= najua wajanja wote wa mjini tunakutana hapo.No comments:

Post a Comment