BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Sunday, July 25, 2010

FIESTA JIPANGUSE 2010 PANDE ZA TANGA....YA UKWELI!!!!

Mkali wa Hip Hop kutokea Tanga R.O.M.A akikamua vilivyo usiku wa kuamkia jana kunako show ya Fiesta jipanguse iliyofanyika kwenye uwanja wa Mkwakwani hapa jijini Tanga. Fiesta huja kila mwaka na huandaliwa na kituo cha redio cha Clouds Fm.

Nyomi la watu likishuhudia show ya Fiesta. Ilikuwa shangwe za kutosha kwa wakazi wa Tanga.

Fid Q akimtemea mashairi binti mrembo....

Brother Juma Nature alikuwepo...alipiga bonge la show.

Mkali wa microphone akiwa kwa redio ama stejini...B12 akiongoza show ya Fiesta.

Kaaaaaaaaazi kweli kweli...wazee wa bata wakifanya makamuzi.

Kutoka TMK Wanaume Family.....Chege na temba waliwakilissha ipasavyo.

Joh Makini akipiga show.....

Wana wa Tip Top Connection wakishambulia jukwaaa. Karibuni tena mwakani wana wa Clouds Fm....mmefanikisha Fiesta Jipanguse rrrraaaaaaaaaaaaaaa!! 2010 kwa pande za Tanga.No comments:

Post a Comment