BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, July 13, 2010

ROMA FUNIKO BOVU FIESTA YA ARUSHA!

Mkali wa Hip Hop kutokea Tanga Rymes Of Magic Attraction a.k.a ROMA alipiga bonge la show na kuacha midomo wazi wakazi wa Arusha wakati wa show ya Fiesta iliyoandaliwa na Clouds Fm....

Fiesta ambayo hufanyika kila mwaka, safari hii imekuja na JIPANGUSE RRRARAAAAAAAA!! Inatarajiwa kuja tanga siku ya jumamosi ya tarehe 24 mwezi huu. Kaa tayari joo!

1 comment:

 1. ARUSHA MUPO TAYARI???
  ILE SHOW YA KIJANJA FUNGA MWAKA SASA ITAFANYIKA PALE KATIKA BUSTANI ZA MARAHA ZA YELLOW MASSAI ZILIZOPO PALE SAKINA OPPOSITE NA ARUSHA MEAT.
  USIKOSE MJUKUU ...MIMI NITAKUWAPO WEWE PIA NI MUHIMU NDANI YA RED CARPET....Djs TOKA NYUMBA YA WAJANJA A TOWN WATAKUWA ZAMU WAKIZISUGUA ZILE ALBUM MPYA KABISA AMBAZO HAZIKUWA KUSIKIKA MAHALA POPOTE DUNIANI.....

  KUWA WA WAKWANZA NA YEMA FIESTA UWEKWE KATIKA KITABU CHA WAJANJA MJINI!!!!!!  http://www.scribd.com/doc/74612860/Yema-Fiesta

  ReplyDelete