BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, December 2, 2010

BOZI BOZIANA NDANI YA TANGA JUMAMOSI HII YA TAREHE 4

Mwanamuziki nguli wa miondoko ya soukous Mbenzu Ngamboni Boskill, maarufu kama Bozi Boziana anatarajiwa kufanya onyesho la aina yake jijini Tanga siku ya jumamosi ya tarehe 4 kunako uwanja wa Mkwakwani.

Imeelezwa kuwa katika onyesho hilo ambalo litakuwa la aina yake...kiingilio kitakukuwa ni shilingi elfu kumi tu.Sio ya kukuosa mdau.

1 comment:

  1. Hii itakuwa mara ya kwanza tanga kuja mwanamuzik wa Zairee, du msitie aibu tanga mjitokeze kuangalia mambo ya mzee mzima, sio kupenda rusha roho tuuu watanga wenzangu.

    ReplyDelete