BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, December 13, 2010

MARAFIKI WA TANGA INAZIDI KUPANUA WIGO!!

Kama wewe una account ya facebook basi itakuwa rahisi kwako kujiunga na mtandao wa MARAFIKI WA TANGA ambao unazidi kukua kila kukicha. Hapo unakutana na marafiki kutoka Tanga na nje ya Tanga na kubadilishana mawazo. Kuna Chat Room ambayo ni raha tupu....MARAFIKI WA TANGA sasa wana ID Card ili kuhakikisha Group hii inafika mbali zaidi. Pichani ni Sophia Murra ambaye pia ni member wa MARAFIKI WA TANGA. Group ina zaidi ya watu 200 hadi sasa.

Kijana Mussa Mhina, pia ni memebr wa MARAFIKI WA TANGA.

Dada Mariam Chuku Semfuko, ni miongoni mwa akina dada mahiri kutoka Tanga. Nae ni member wa MARAFIKI WA TANGA

Tanga Raha!! Eric John Mgondah, member wa MARAFIKI WA TANGA

Dada Fatma Olotu.....member wa MARAFIKI WA TANGA

Dj na Mtangazaji wa Breeze Fm Radio ya jijini Tanga- Nasr Thabit maarufu kama Dj Bob Nass nae ni member wa MARAFIKI WA TANGA

Kitojo Ever......kutoka MARAFIKI WA TANGA! Hawa ni baadhi tu ya members wa MARAFIKI WA TANGA ambao Group yake ipo facebook. BONYEZA HAPA KUKUTANA NA MARAFIKI WA TANGANo comments:

Post a Comment