BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, December 16, 2010

IJUMAA HII NDANI YA TANGA NI GELLY WA RYMES NA AT!!

Wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava nchini At pamoja na Gelly Wa Rymes wanatarajiwa kufanya show ya aina yake siku ya Ijumaa ya tarehe 17/12/2010 kunako Club ya Fax Night iliyopo jijini Tanga.Show hiyo ambayo pia itaongozwa na wasanii wengine kutoka Tanga, imeandaliwa na kituo cha redio Breeze Fm kinachorusha matangazo yake jijini hapa kwa masafa ya 100.6 fm.

No comments:

Post a Comment