BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, March 30, 2011

TUNDA MAN, KASSIM NDANI YA TANGA ALHAMISI YA LEO

BASI IMBA- TUNDA MAN FT RICHARDUSIENDE KWA MGANGA- KASSIMBAN Entertainment na La Grand Lacasa Chica kutokea Tanga City, wanakuletea show ya Mahalat itakayofanyika Alhamisi ya leo ya tarehe 31/03/2011 kunako Club Lacasa Chica.

Show hiyo ya aina yake itawaweka wasanii nguli wa Bongo Flava Kassim Mganga pamoja na Tunda Man. Pia kutakuwa na BAIKOKO LIVE, RUSHA ROHO na MASEBENE ya hatari.

Kiingilio ni 3000/= kwa wanaume na 2000/= kwa wanawake. NYOTE MNAKARIBISHWA.

No comments:

Post a Comment