BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, April 4, 2011

MARAFIKI WA TANGA WALIVYOKUTANA DAR!

Mariam Mdoa ambaye ni katibu wa MARAFIKI WA TANGA akizungumza jambo wakati wa mkutano wa MARAFIKI WA TANGA uliofanyika jijini Dar es salaam kunako Cine Club. MARAFIKI WA TANGA kupitia facebook, wameanzisha mfuko wa kusaidina SISI KWA SISI, kwenye shida na raha ambapo kiingilio cha ada ni 30,000/=. Zaidi BONYEZA HAPA ili kujiunga na MARAFIKI WA TANGA na upate kujua kusudio la kundi hili.

Anko Mo (mimi) nikiwa na dada Ashurita Somo wakati wa mkutano.

Mariam Chiku Semfuko akiwa na bibie Sarah Mwaimu,

Baadhi ya MARAFIKI WA TANGA wakiwa kwenye mkutano!! Dunia Mhina, Al- Buhry Hamza, Ashurita Somo..........Mariam Mdoe, Mariam Chiku Semfuko na Sarah Mwaimu.

Mariam Chiku Semfuko ambaye ni mwekahazina wa kundi akiwa na katibu wake Mariam Mdoe

Mkutano ulivyomalizika tukaondoka. Mkutano ujao ni tarehe 30/04/2011 jijini Tanga. Ukiwa kama RAFIKI WA TANGA unaomba kufika kwenye mkutano huo ili kujadili mustakabali wa mkoa wetu. BONYEZA HAPA ujiunge na MARAFIKI WA TANGA. Hakikisha umefungua facebook yako kwanza.


No comments:

Post a Comment