BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, April 13, 2011

20 PERCENT NDANI YA TANGA JUMAMOSI HII!!!!

Msanii nguli wa muziki wa Bongo Flava nchini aliyejinyakulia tuzo tano kwa mpigo hivi karibuni kunako tuzo za Kili, Abbas Hamisi maarufu kama 20 Percent anatarajia kufanya show ya aina yake jijini Tanga siku ya jumamosi ya tarehe 16/04/2011 kwenye klabu ya kisasa ya La Club Lacasa Chica.Show hiyo iliyoandaliwa na Mb Entertainement kiingilio kitakuwa ni shilingi 5000/=....Tukutane hapo!!!

No comments:

Post a Comment