Machozi amesema albamu yake ni mfano wa kuigwa kwa sababu nyimbo zake zinagusa kila rika na zina ujumbe mbalimbali muhimu kwa jamii. Pia alisema ujumbe wake unagusa maisha ya kila siku ya jamii.
Alivitaja vibao vilivyomo kwenye albamu hiyo kuwa ni ‘Yes we can’ alichomshirikisha msanii Bonta, ‘Utaipenda’ alichomshirikisha Joe Makini, ‘Kabla ya jua kuzama’ alichomshirikisha Mac d, ‘Niacheni niseme’ na ‘Full shangwe remix’ alichomshirikisha AY. Vingine ni ‘Kwa ajili yako’, ‘Za mwizi 40’, ‘Dont cry’, ‘Karibu narudi’ alichomshirikisha Farida na ‘My wife’.PIGA NAMBA HII KUPATA ALBAMU YA HUSSEIN MACHOZI 0713 131073


No comments:
Post a Comment