BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, January 13, 2010

SHIKIDE ILIKUWA NI TRELLA!!! DULLY

Shekide ilikuwa trela sasa picha Tapatapa inakuja na stelling ni yeye mwenyewe dully Sykes. Akiongea kwa majigambo kama ilivyo ada ya duly alidaiKama ulifikiri ngoma ya Shikide kutoka ndiyo ngoma kali kuliko zote za Dully, fikiri tena.

Mwezi Machi ataachia ngoma hiyo 'Tapatapa' au Top of the toppest ambayo imekaa kibata kupita maelezo mpini umepikwa studio za Dhahabu recordz na yuko kwenye harakati za kutengeneza video na Visual lab.


Tuisubirie

No comments:

Post a Comment