BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, January 14, 2010

MAANDAILIZI YA KAMPENI MAALUM YA KUTOKOMEZA MALARIA YAZIDI KUIVA!

Maandalizi ya Kampeni maalumu ya kutokomeza Malaria yaanza kwa kishindo Ikulu.

Wadau Ally Rehmtullah na Prof Jay wakiwa tayari katika kampeni maalumu ya kutokomeza ugonjwa wa Malaria.
Mwanamuziki Lady Jay Dee akiwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete siku ya Jana ofisini kwake Ikulu kwa ajili maandalizi ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Kampeni hiyo inayojulikana kama ZINDUKA inatarajiwa kuzinduliwa Februari 13 mwaka huu wa 2010.No comments:

Post a Comment