BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Wednesday, June 9, 2010

MAMA HAUPENDI WIMBO WANGU- BARNABAS


Mwanamuziki aliyeko juu kwasasa na mwenye mafanikio Barnabas ameibuka na kusema mmoja wa watu ambao haupendi wimbo wake ni Mama yake Mzazi.

Barnabas ametoa madai hayo juzi na kuthibitisha ukweli wa wimbo huo ambao unatamba kwasasa, lakini cha ajabu zaidi ni kuwa Barnaba anasema wakati Mama yake hauzimii wimbo huo ni tofauti kwa baba yake ambaye anaupenda vibaya mno.

“Mama hautaki kabisa kuusikia huu wimbo, lakini baba hana tatizo lolote,” anasema Barnabas akimaanisha kuwa ni vigumu wimbo huo kusikika redio nyumbani kwao mama yake akiwepo

Msanii huyo ambaye jina lake halisi ni Elias Barnabas anadhani kuwa mama yake haupendi wimbo huo kwa sababu kisa alichoimba ni cha kweli na kimemtokea baba na mama yake yeye akishuhudia.

No comments:

Post a Comment