BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, June 14, 2010

MITAA YA TANGA CITY LEO MCHANA!!!

Maeneo ya katikati ya jiji la Tanga.

Hii ni barabara ya kuelekea Ridoch..

Maeneo ya karibu na benki ya CRDB

Bustani nzuri barabara za jiji la Tanga.

Hapa ni karibu ya ofisi za TTCL na Dar Worth.

Kuelekea Four Ways

Ofisi za Posta

1 comment:

  1. duuh...unanikumbusha mbali sana bro! hizo sehemu zote ulizozitaja nazijua lakini sikuzitambua kabisa! kila siku naingia kwenye hii blog yako kuona mitaa ya tanga, naomba uendelee kutuletea picha za mitaani na hata watu wakiwa maskani kwani nina hakika tutawatambua baadhi yao kama si wote.... asante

    ReplyDelete