BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Thursday, June 10, 2010

'TUTUNGE NYIMBO KUELIMISHA UCHAGUZI'- NAKAAYA

Mwanamuziki wa kizazi kipya aliyeweka bayana kujihusisha na shughuli za kisiasa, Nakaaya Sumari amewataka wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kuacha kuimba nyimbo za kujirusha kila siku na badala yake watunge nyimbo za kuelimisha jamii kama vile zenye maudhui kuhusu uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.

Akiongea hivi karibuni Nakaaya alisema wanamuziki wanajisahau sana kwani wao ndiyo wenye sauti ya kusikika sehemu kubwa ya Tanzania kwa kupitia Media.

Hivi karibuni mwanadada huyo alitangaza kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

No comments:

Post a Comment