BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, June 23, 2010

TANGAMANO LEO ASUBUHI!!!

Mchuuzi wa nguo akisubiri wateja kwenye uwanja wa Tangamano leo asubuhi. Tangamano ni sehemu maarufu kwa soko huria jijini Tanga.

Watu mbalimbali hufika Tangamani kwa ajili ya kununua nguo...bei rahisi na nzuri!!

Mwanamaa akipiga mzigo..

Mpende mwanao, mpende mumeo, mpende mke!~! bei poa

Kila kona nguo tu.....

Akina baba nao wamo....

1 comment:

  1. Nguo bei poa kweli ila vibaka nao mmh!Abiria chunga mzigo wako hapo.

    ReplyDelete