BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Wednesday, June 9, 2010

MICHAEL ROSS KUFANYA KOLABO NA TIP TOP CONNECTION!

Siku chache baada ya kutua bongo kwa ajili ya makamuzi ya uzinduzi wa albam 'Vita Uwanjani' ya Chegge na Mh. Temba. Msanii kutoka nchini Uganda Michael Ross ameamua kugonga collabo la kufa mtu na kundi zima la Tip Top Connection toka pande za Manzese.


Ngoma yenyewe mazee imegongwa ndani ya studio za 'B Hits' kwa mtu mzima 'Hermy B' na imepewa jina 'NITAKUOA'.

Msanii Madee katika pozz akiwa na Babu Tale ambaye ni meneja wa Tip Tip pamoja na Keisha

No comments:

Post a Comment