BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Thursday, April 1, 2010

GLORY CHUWA 'NITARUDI NYUMBANI HIVI KARIBUNI'

Miss Tanga 2009 Glory Chuwa akiwa katika pozz pamoja na Rechal Mlaki namba mbili na Yasmini Zachari namba tatu. Anko Mo Blogspot jana ilizungumza na Glory Chuwa kuhusiana na maisha yake baada ya kuwapo kimya kwa muda mrefu tangu awe mnyange wa taji hilo. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo..:
Anko Mo: Hi Glory

Glory: Hi Anko Mo

Anko Mo: Unaweza kuwasalimia Watanga wote plz..?
(Akacheka kidogo)

Glory: Hellow Tanga, this is Glory Chuwa- Miss Tanga 2009 i have been quiet since crowned Miss Tanga, B'coz im in school (university) and little bit of concentration. Thanx!

Anko Mo: Where are U now..?


Glory: I am in Dar right now, but will be there (Tanga) to assist the girls. And good luck kwa mchakato mzima kuanzia vitongoji and the rest.

Anko Mo: When are U coming..?

Glory: Soon, i think when the launch is happening will be there..now nipo University of Dar na nasomea Public Relations and Advertising.

Anko Mo: Unawaambiaje warembo watarajiwa hapa Tanga.

Glory: In my time we used to say BEAUTY WITH PURPOSE, the beauty thing goes with awareness (kujitambua who are you, what do U wish and what does the society want from U) Wajua sababu ya wao kushindana, and what the future holds, thats it!

Anko Mo: Unawaambiaje wakazi wa Tanga sasa, ukizingatia umekaa kimya kwa muda mrefu na tunaona unavyozidi kulinda heshima yako pasipo kuwa na skendo...?
Glory: Kwanza am sorry for not being able to work with my society since i have crowned, but i wish to do that whenever i get a chance! and about scandal, i respect myself, ambitious, determine that i cant let scandal ruin my reputation and status


Anko Mo: Who is ur role model..?

Glory: Hoyce Temu, coz she has done a lot with the society hata baada ya kuvua taji. No scandal, she gat brains.

Anko Mo: What U love da most on earth.?

Glory: I love being independent, not depending on anybody.

Anko Mo: Thanx for ur time Glory

Glory: Poa anko mo, nisalimie wote hapo Tanga.

Anko Mo: Ok..bye

Glory: Bye


No comments:

Post a Comment