BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, July 14, 2011

ANKO MO BLOGSPOT NDIO BEST INFORMATIVE AND ENTERTAINMENT BLOG IN TANZANIA

Hello Anko Mo,

Tanzanian Blog Awards Team tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa wewe kukubali kushiriki katika shindano letu. Pia tunapenda kukupa hongera kwa blog yako kujipatia ushindi kuwa BEST INFORMATIVE- ENTERTAINMENT BLOG IN TANZANIA.

SHUKRANI KWA WALE WOTE WALIONIPIGIA KURA.

1 comment:

  1. Kaka hongera kwa mafanikio haya uliyoyapata, tunachokuomba usibweteke kaza buti zaidi ya hapa ulipofikia , kila la kheir kuelekea kwenye mafanikio ya kweli.

    Mdau Said
    UK

    ReplyDelete