BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, July 28, 2011

VIJANA WA TANGA TOWN!

Msanii mashuhuri wa muziki wa Bongo Flava kutokea Tanga Dk Leader aliyevaa fulana nyeupe akiwa na washkaji zake. Katikati ni The Don pamoja na Producer wa Huruma Records ya jijini Tanga anafahamika kama Andrew.Hapa ni maeneo ya Chumbageni wakati camera ya Anko Mo ilipowakuta wakibadilishana mawazo.

No comments:

Post a Comment