BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, July 11, 2011

ZUBEDA SEIF KUTOKA TANGA ATWAA TAJI LA MISS KANDA KASKAZINI

Warembo wote watano wakiwa katika picha ya pamoja wa katikati ni Zebeda Self miss kanda anayemfata kushoto ni mshindi wa tatu Rose Habati kulia kwake ni mshindi wa pili Stece Alfred. Mwengine ni Dorikas Jeradi ambaye ni mshndi wa nne wote wakionyesha nyuso za furaha. Tanga haijapata kuchukua taji hilo toka mwaka 2007 lilipochukuliwa na Victoria Martin.

Meneja wa kanda wa kampuni ya Vodacom Mr.Nguvu akiwa na mshindi wa kanda mara baada ya kutangazwa. Vodacom ndio wadhamini wakuu wa Miss Tanzania 2011.

Miss Vodacom Kanda ya kaskazini zubeda self toka mkoani Tanga akiwa anapita jukwaani juzi katika hoteli ya Snowcrest katika shindano lililoshirikisha warembo 12

Kutoka Arusha Stece Alfred akiwa ameshikana mkono na mrembo aliyeshika nafasi ya kwanza kutokea mkoani Tanga zubeda self kabla ya kutangazwa nani kati yao ataibuka mnyange wa kanda ya kaskazini

No comments:

Post a Comment