BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, July 5, 2011

ENDELEA KUNIPIGIA KURA MDAU WA VIJIMAMBO VYA TANGA!

Nawashukuru sana wale wote mnaoendelea kunipigia kura kwenye Tanzania Blog Awards. Najua ni kutaka Blog hii iibuke kidedea. Asante sana wadau wote kwa ujumla.

Basi nawaomba muendelee kufanya hivyo. Jinsi ya kupiga kura BONYEZA HAPA kisha tazama upande wa kulia kwenye vipenge ambavyo ni Best Informative -Entertainments, Best Entertainments, Best News, pamoja na Best Music.

Kisha piga kura yako palipoandikwa http://ankomo.blogspot.com ukishamaliza kubonyeza kwenye kila kiduara unamalizia kwa kubonyeza palipoandikwa VOTE, na hapo utakuwa umeipigia kura Blog yako ya VIJIMAMBO VYA TANGA.

1 comment:

  1. tayari nimeshapiga kura je matokeo yatatoka lini na pia napenda kufahamu kama utayatoa kwenye blog yako au kuna sehemu nyengine tutatizame? ahsante mzee wa ngamiani ndani ya Leicester England UK

    ReplyDelete