BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, July 5, 2011

BAADHI YA MITAA YA TANGA TOWN HIYO!!

Maeneo ya Chuda relini kuelekea Kwa MinchiHapa ni karibu na Tangamano. Tawakal hapo mbele kwa mnaopenda kula Tende Shake

Njia ya kuelekea Nguvumali na Kisosora.......haice ya Nguvumali hiyo.


Kati kati ya jiji


Kuelekea Bombo. Hapa ni karibu na ofisi na Toyota


Barabara ya saba....Maua Inn ya barabara ya nane inaonekana kwa hapo mbele
Maeneo ya Chumbageni


Kuelekea Bandari. Hapa ni eneo la Sigara/Kituo cha SigaraNo comments:

Post a Comment