BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, July 12, 2011

BURUDANI IJUMAA HII JIJINI TANGA NI DIAMOND!!

Msanii wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwenye ramani ya muziki wa Bongo Flava nchini Naseeb Abdul maarufu kama Diamond anatarajiwa kufanya onyesho la aina yake siku ya ijumaa ya tarehe 15/07/2011 jijini Tanga kunako klabu ya Lacasa Chica.


No comments:

Post a Comment