BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, July 25, 2011

SERENGETI FIESTA 2011 NI FULL MAJOTROOOOO


Wananchi wa Tanga wakifurahia Serengeti Fiesta 2011 iliyofanyika jijini Tanga siku ya jana Jumapili ya tarehe 24/07/2011 kwenye uwanja wa Mkwakwani......hakika ilikuwa bonge moja la show! wakazi wa Tanga walijitokeza wka wingi na majatrooo yaliwabamba vilivyo.Dayna akifanya vitu vyake jukaani

Mimi pamoja na mashosto wa kitanga


Mataaluma akitoa burudaniSheta akionyesha umahiri wake wa kuchezaMwana Fa akiangusha burudani.Dj Bulla ndio alikuwepo kwenye moja na mbiliBelle ( kwa stage akitoa majotroooo


Mzee wa dushelele Ali Kiba kama kawa akiwakilishaNo comments:

Post a Comment