BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Monday, February 1, 2010

MIKOSI YAENDELEA KUMUANDAMA NYOTA NDOGO

Msanii kutoka Kenya Nyota Ndogo ameshtushwa na habari zilizozagaa katika vyombo vya habari na mtaani yakuwa amebadili dini.

Akizungumza kutokea Mombasa nchini Kenya Nyota ndogo ambaye dini yake ni ya kiislamu alikataa kata kata uzushi huo ambao umeenea kwenye vyombo vingi vya habari mara baada ya kushirikishwa kwenye muziki wa Injili na mmoja wa wanamuziki wa Injili chini humo.

“Mimi nakata si kweli kwamba nimebadili dini, unajuwa mimi ni msanii kama wasanii wengine, nabadilika kutokana na wakati, niliombwa nishirikishwe kwenye wimbo na maudhui ya wimbo ni wa dini, yule ni msanii mwenzangu nikakubali na kushirikiana nae, lakini watu waelewe mimi bado niko katika dini yangu ile ile” alisema Nyota Ndogo.





No comments:

Post a Comment