BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Friday, February 12, 2010

MITAA YA TANGA CITY LEO MCHANA!

Hapa ni karibu ya ofisi za posta pamoja na ttcl, upande wa kulia panapatikana Club La Casa Chica pamoja na osifi za zantel. Huko mbele ni kama unaelekea Bandari House

Hapa ni Chumbageni Area kama unaelekea La Club Tanzanite maeneo ya Chuda relini.

Hapa ni karibu ya ofisi za Toyota, hiyo njia inaelekea hospitali ya Bombo kwa upande wa kulia

Hii picha nilikuwa kwenye gari, hili ni eneo la Mapanda ya Papa. Kuna matangazo mengi sana ya biashara kutokana na bustani yake kutengenezwa vizuri.




No comments:

Post a Comment